> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili kadi ya Kitambulisho

Kunakili kadi ya Kitambulisho

Hutambaza pande zote mbili za kadi ya utambulisho na hunakili upande mmoja wa karatasi.

  1. Weka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji.

    Kuweka Nakala Asili kwenye Glasi ya Kitambazaji

  2. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, na kisha uwezeshe Nakala ya Kadi ya ID.

  4. Donoa kwenye kichupo cha Nakili.