> Maelezo ya Msimamizi > Kudhibiti Kichapishi > Mipangilio ya Msimamizi > kKusanidi Nenosiri la Msimamizi > Kusanidi Nenosiri la Msimamizi kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Kusanidi Nenosiri la Msimamizi kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Unaweza kuweka nenosiri la msimamizi kutoka kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.

  1. Teua Mipangilio kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.

  2. Teua Mipangilio ya Jumla > Usimamizi wa Mtandao > Mipangilio ya Usalama > Mipangilio ya Msimamizi.

  3. Teua Nenosiri la Msimamizi > Sajili.

  4. Ingiza nenosiri jipya.

  5. Ingiza nenosiri tena.

Kumbuka:

Unaweza kubadilisha au kufuta nenosiri la msimamizi unapoteua Badilisha au Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi kwenye skrini ya Nenosiri la Msimamizi na uweke nenosiri la msimamizi.