Kwa kutumia menyu hii, unaweza kudumisha bidhaa kama msimamizi wa mfumo. Pia hukuruhusu kuzuia vipengele vya bidhaa kwa watumiaji binafsi ili kukidhi kazi yako au mtindo wa ofisi.
Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Usimamizi wa Mtandao
Usimamizi wa Mtandao
Kisimamia Waasiliani
Sajili/Futa
Sajili na/au futa waasiliani kwa menyu za Faksi, Kwenye Kompyuta (Barua pepe), na Changanua kwa Folda/FTP ya Mtandao.
Mara kwa mara
Sajili waasiliani wanaotumiwa mara kwa mara ili kuwafikia haraka. Pia unaweza kubadilisha mpangilio wa orodha.
Chapisha Waasiliani
Chapisha anwani yako ya orodha.
Angalia Chaguo
Badilisha jinsi orodha ya waasiliani inavyoonyeshwa.
Chaguo za Utafutaji
Badilisha mbinu ya kutafuta waasiliani.
Ondoa Data ya Kumbukumbu ya Ndani
Kipengee hiki kinaonyeshwa kwenye kichapishi patanifu cha PCL au PostScript.
Futa data ya kumbukumbu ya ndani ya kichapishi, kama vile fonti iliyopakuliwa na makro kwa uchapishaji wa PCL au kazi ya kuchapisha nenosiri.
Mipangilio ya Usalama
Unaweza kuunda mipangilio ya usalama ifuatayo.
Vikwazo
Toa kibali cha kubadilisha mipangilio ya vipengee vifuatavyo wakati kufuli la paneli limewezeshwa.
Ufikiaji wa kumbukumbu ya Kazi
Fikia ili uweze Kuwasajili/Kuwafuta Waasiliani
Ufikiaji wa hivi karibuni wa Faksi
Ufikiaji wa Batli ya Usambazaji Faksi
Ufikiaji wa Ripoti ya Faksi
Ufikiaji wa Chapisha Historia ya Kuh. Cha. kwa Folda/FTP ya Mt'o
Ufikiaji wa hivi karibuni wa Changanua kwa Barua pepe
Ufikiaji wa Onyesha Historia ya Zil'tumwa ya Cha. Barua pepe
Ufikiaji wa Chapisha Historia ya Zil'tumwa ya Cha. Barua pepe
Ufikiaji wa Lugha
Ufikiaji wa Karatasi Nyembamba
Ufikiaji wa Hali Tulivu
Ulinzi wa Data ya Kibinafsi
Fikia Vidhibiti
Teua On ili kuzuia vipengele vya bidhaa. Hii huwahitaji watumiaji kuingia kwenye paneli dhibiti ya bidhaa kwa majina yao ya mtumiaji na nenosiri kabla waweze kutumia vipengele vya paneli dhibiti. Kwenye Kubali Kazi za Mtumiaji Asiyejulikana, unaweza kuteua iwapo utaruhusu kazi zisizo na maelezo yanayostahili ya uhalalishaji au la.
Mipangilio ya Msimamizi
Nenosiri la Msimamizi
Weka, badilisha, au ufute nenosiri la msimamizi.
Mpangilio wa Kufunga
Teua kama utafunga paneli dhibiti au la kwa kutumia nenosiri lililosajiliwa katika Nenosiri la Msimamizi.
Ufichamishaji wa Nenosiri
Teua On ili kusimba nywila yako kwa njia fiche. Ukibonyeza kitufe cha kuzima wakati kinaendelea kuanzisha upya, data inaweza kuharibiwa na mipangilio ya kichapishi kurejeshwa kuwa chaguomsingi. Katika hali hiyo, weka tena maelezo ya nywila.
Utafiti wa Wateja
Teua Idhinisha ili kutoa maelezo ya matumizi ya bidhaa kama vile idadi ya machapisho kwa Seiko Epson Corporation.
Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi
Weka upya mipangilio kwenye menyu zifuatazo katika changuo-msingi zake.
Mipangilio ya Mtandao
Nakili Mipangilio
Mip'o ya Ucha'uzi
Mipangilio ya Faksi
Ondoa Data na Mipangilio Yote
Sasisho la Pro.
Unaweza kupata maelezo ya programu dhibiti kama vile toleo lako la sasa na maelezo kuhusu visasisho vinavyopatikana.
Sasisha
Angalia iwapo toleo la sasa la programu dhibiti imepakiwa kwenye seva ya mtandao.Iwapo kisasisho kinapatikana, unaweza kuteua iwapo utaanza kusasisha au la.
Taarifa
Teua On ili kupokea taarifa iwapo kisasisho cha programu dhibiti inapatikana.