Muhtasari wa Epson Open Platform

Epson Open Platform ni jukwaa la kutumia vichapishi vya Epson kwa kitendaji kilichotolewa na seva ya mfumo wa uhalalishaji.

Unaweza kupata kumbukumbu za kila kifaa na mtumiaji kwa ushirikiano na seva, na usanidi vizuizi kwenye kifaa na vitendaji vinavyoweza kutumiwa kwa kila mtumiaji na kikundi. Inaweza kutumika kwa Epson Print Admin (Mfumo wa Uhalalishaji wa Epson) au mfumo mwingine wa uhalalishaji.

Iwapo utaunganisha kifaa cha uhalalishaji, pia unaweza kutekeleza uhalalishaji wa mtumiaji kwa kutumia kadi ya Kitambulisho.