> Maelekezo Muhimu > Vidokezo kwenye Nenosiri la Msimamizi > Operesheni Zinazokuhitaji Uingize Nenosiri la Msimamizi

Operesheni Zinazokuhitaji Uingize Nenosiri la Msimamizi

Iwapo utaombwa kuingiza nenosiri la msimamizi unapotekeleza operesheni zifuatazo, ingiza nenosiri la msimamizi lililowekwa kwenye kichapishi.

  • Unaposasisha maunzi ya kichapishi kutoka kwenye kompyuta au kifaa maizi

  • Unapoingia kwenye mipangilio mahiri ya Web Config

  • Unaposanidi kwa kutumia programu-tumizi, kama vile Matumizi ya Faksi, inayoweza kubadilisha mipangilio ya kichapishi

  • Unapoteua menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi iliyofungwa na msimamizi wako