Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao
Mipangilio ya Mtandao
Usanidi wa Wi-Fi
Sanidi au badilisha mipangilio ya mtandao wa pasi waya. Chagua mbinu ya muunganisho kutoka kwa zifuatazo na kisha ufuate maagizo kwenye paneli dhibiti.
Kipangishi njia
Sogora ya Kusanidi Wi-Fi
Sukuma Kitufe cha Usanidi (WPS)
Nyingine
Usanidi Msimbo PIN (WPS)
Unganisha Wi-Fi Kiotomatiki
Lemaza Wi-Fi
Unaweza kutatua matatizo ya mtandao kwa kulemaza mipangilio ya Wi-Fi au kuweka mipangilio ya Wi-Fi tena. Donoa > Kipangishi njia > Badilisha Mipangilio > Nyingine > Lemaza Wi-Fi > Anza Kusanidi.
Wi-Fi Direct
iOS
Android
Vifaa Vingine vya OS
Badilisha
Badilisha Jina la Mtandao
Badilisha Nywila
Badilisha Masafa ya Wimbi
Huenda mipangilio hii isionyeshwe kulingana na eneo.
Lemaza Wi-Fi Direct
Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi
Usanidi wa Lana ya Waya
Sanidi au badilisha muunganisho wa mtandao ambao hutumia kebo za LAN na kipanga njia. Wakati hii inatumika, miunganisho ya Wi-Fi inalemazwa.
Hali ya Mtandao
Huonyesha au huchapisha mipangilio ya sasa ya mtandao.
Hali ya LAN ya waya/Wi-Fi
Hali ya Wi-Fi Direct
Hali ya Seva ya Barua pepe
Chapisha Karatasi ya Hali
Ukaguzi wa Muunganisho
Huangalia muunganisho wa mtandao wa sasa na kuchapisha ripoti. Ikiwa kuna matatizo yoyote ya muunganisho, kagua ripoti ili utatue tatizo.