Unaweza kupata menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea > Mipangilio ya Hifadhi/Sambaza > Masharti ya Hifadhi/Sambaza
Kwenye skrini ya Web Config, unaweza kutafuta menyu hapa chini.
Kichupo cha Fax > Save/Forward Settings > Conditional Save/Forward
Unaweza kuweka mafikio ya kuhifadhi na/au kutuma mbele kwenye Kisanduku pokezi, vikasha vya siri, kifaa cha kumbukumbu ya nje, anwani za barua pepe, makabrasha yaliyoshirikiwa, na mashine mengine ya faksi.
Ili kubadili kati ya kuwezesha au kulemaza masharti, donoa mahali popote kwenye kisanduku isipokuwa kwa
.