Miongozo ifuatayo hutumika na kichapishi chako cha Epson. Pamoja na miongozo, angalia msaada ikiwa ni pamoja na matumizi mbalimbali ya programu za Epson.
Maagizo Muhimu ya Usalama (mwongozo wa karatasi)
Hukupa maagizo ya kuhakikisha usalama wa printa hii.
Anza Hapa (mwongozo wa karatasi)
Hukupa maelezo kuhusu kuweka printa na kusakinisha programu.
Mwongozo wa Mtumiaji (mwongozo wa dijitali)
Mwongozo huu. Mwongozo huu unapatikana katika mionmgozo ya PDF na Wavuti. Hukupa maelezo na maelekezo ya jumla kuhusu kutumia printa, na kuhusu kutatua matatizo.
Unaweza kupata matoleo mapya ya miongozo iliyo hapa juu kwa kutumia mbinu zifuatazo.
Mwongozo wa karatasi
Tembelea tovuti ya usaidizi ya Epson Ulaya http://www.epson.eu/support, au tovuti ya usaidizi wa Epson duniani iliyo http://support.epson.net/.
Mwongozo wa dijitali
Ili kutazama mwongozo wa Wavuti, tembelea tovuti ifuatayo, ingiza jina la bidhaa, na kisha uende kwenye Usaidizi.