Unaweza kunakili karatasi yenye ukubwa wa A4 kwa ukuzaji mmoja. Pambizo zenye upana wa milimita 3 zinaonekana kando ya kingo za karatasi kwa kutojali kama nakala ya kanza ina pambizo kando ya kingo za karatasi au la. Wakati unanakili nakala za kwanza ndogo zaidi ya ukubwa wa A4, pambizo zitakuwa pana zaidi ya milimita 3 kulingana na mkao unapoweka nakala ya kwanza.
Pakia karatasi katika kichapishi.
Weka nakala za kwanza.
Bonyeza kitufe cha
au
.
Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyonakiliwa ni tofauti kiasi kutoka kwenye nakala asili.