Uendeshaji unaweza kutofautiana kulingana na kifaa.
Ikiwa Epson Smart Panel haijasakinishwa, isakinishe.
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Anzisha Epson Smart Panel.
Teua menyu ya kutambaza waraka kwenye skrini ya nyumbani.
Teua waraka unaotaka kuchapisha.
Anza kuchapisha.