Angalia muunganisho kwa kifaa maizi

Tumia Epson Smart Panel kuangalia muunganisho kati ya kifaa maizi na kichapishi.

Fungua Epson Smart Panel. Iwapo huwezi kuunganisha kwenye kichapishi, donoa [+] upande wa juu wa skrini ili kuweka upya.

Iwapo hutumii Epson Smart Panel, angalia kiungo cha hapa chini.

http://epson.sn