> Kuchapisha > Kuchapisha kwenye Bahasha > Kuchapisha Bahasha kutoka kwa Kompyuta (Windows)

Kuchapisha Bahasha kutoka kwa Kompyuta (Windows)

  1. Pakia bahasha kwenye kichapishi.

    Pakia Bahasha katika Mlisho wa Nyuma wa Karatasi

  2. Fungua faili unayotaka kuchapisha.

  3. Nenda kwa dirisha la kiendeshi cha kichapishi.

  4. Teua ukubwa wa bahasha kutoka Ukubwa wa Waraka kwenye kichupo cha Kuu kisha uteue Bahasha kutoka Aina ya Krtasi.

  5. Weka vipengele hivyo vingine kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.

  6. Bofya Chapisha.