> Maelezo ya Bidhaa > Ufafanuzi wa Bidhaa > Sifa za Kielektroniki

Sifa za Kielektroniki

Ukadiriaji wa Usambazaji wa Nishati

AC 100–240 V

AC 220–240 V

Masafa ya Mawimbi Yaliyopimwa

50–60 Hz

50–60 Hz

Wimbi Lililopimwa

0.40.2 A

0.2 A

Matumizi ya Nishati (na Muunganisho wa USB)

Unakili wa kujifanyia: takriban 12 W (ISO/IEC24712)

Hali ya kuwa tayari: takriban 5 W

Hali tuli: Takriban 0.4 W*

Kuzima: takriban 0.1 W

Unakili wa kujifanyia: takriban 12 W (ISO/IEC24712)

Hali ya kuwa tayari: takriban 5 W

Hali tuli: Takriban 0.4 W*

Kuzima: takriban 0.1 W

*Hii ni thamani ya rejeleo. Matumizi halisi ya nishati huenda ikatofautiana kulingana na mazingira yako.

Kumbuka:
  • Kagua lebo iliyo kwenye printa kwa volteji yake.

  • Kwa watumiaji wa Ulaya, angalia Tovuti ifuatayo kwa maelezo kuhusu matumizi ya nishati.

    https://www.epson.eu/energy-consumption

  • Kwa watumiaji wa Mashariki ya Kati, Uturuki, Afrika, Asia ya Magharibi na Kati, tazama Tovuti ifuatayo ili kupata maelezo kwenye matumizi ya nishati.

    https://www.epson.com/eme