> Maelezo ya Bidhaa > Taarifa ya Bidhaa Tumika > Misimbo ya Chupa ya Wino

Misimbo ya Chupa ya Wino

Epson inapendekeza utumie chupa halali za wino za Epson.

Ifuatayo ndio misimbo ya chupa halisi za wino wa Epson.

Muhimu:
  • Waranti ya Epson haishughulikii uharibifu uliosababishwa na wino mwingine kando na ule uliobainishwa, pamoja na wino wowote halali wa Epson usioundiwa printa hii au wino wowote wa mhusika mwingine.

  • Bidhaa zingine ambazo hazijatengenezwa na Epson zinaweza kusababisha uharibifu ambao haujasimamiwa na udhamini wa Epson, na wakati mwingine, zinaweza kusababisha mienendo ya uchapishaji isiyo ya kawaida.

Kumbuka:
  • Misimbo ya chupa ya wino hutofautiana kulingana na eneo. Kwa misimbo sahihi katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.

  • Ingawa chupa za wino zinaweza kuwa na nyenzo zilizorejelezwa, hii haiathiri ufanyaji kazi au utendaji wa printa.

  • Sifa na sura ya chupa ya wino zinaweza kubadilishwa bila notisi ili kuoboresha.

Kwa Amerika ya Kusini

Bidhaa

BK: Black (Nyeusi) C: Cyan (Siani) M: Magenta (Majenta) Y: Yellow (Manjano)
L3310 544 544 544 544

Kumbuka:

Tembelea tovuti ifuatayo kwa maelezo kuhusu nyuga za chupa ya wino ya Epson.

https://epson.com.br/infocartucho (Brazil)

https://latin.epson.com/infocartucho (Maeneo mengine)

Waranti za Epson hazienei kwenye uharibifu wowote uliosababishwa na matumizi ya wino wa mhusika mwingine au wino haujaundiwa kwa ajili ya kichapishi chako.

Chupa asili za wino zilizojumuishwa lazima zitumiwe kwa usanidi wa kichapishi na sio za kuuzwa tena. Kichapishi kinasafirishwa na chupa zenye wino uliojaa na sehemu ya wino kutoka kwenye chupa za kwanza unatumiwa kuchaji kichwa cha kuchapisha. Mapato yanatofautiana mno kulingana na picha zilizochapishwa, mipangilio ya chapisho, aina ya karatasi, marudio ya matumizi na halijoto.

Kwa Ulaya, Mashariki ya Kati, Uturuki, Afrika, Asia ya Magharibi na Kati

BK: Black (Nyeusi)

C: Cyan (Siani)

M: Magenta (Majenta)

Y: Yellow (Manjano)

103

103

103

103

Kumbuka:

Tembelea tovuti ifuatayo kwa maelezo kuhusu nyuga za chupa ya wino ya Epson.

http://www.epson.eu/pageyield (Ulaya peke yake)

https://www.epson.com/eme (Mashariki ya Kati, Uturuki, Afrika, Asia ya Magharibi na Kati pekee)

Kwa matumizi ya Asia

BK: Black (Nyeusi)

C: Cyan (Siani)

M: Magenta (Majenta)

Y: Yellow (Manjano)

003

003

003

003