> Katika Hali Hizi > Kurekebisha Mipangilio Wakati wa Kuunganisha kwenye Kompyuta

Kurekebisha Mipangilio Wakati wa Kuunganisha kwenye Kompyuta

Unaweza kuendesha kisakinishaji kwa kutumia mbinu zifuatazo.

Kusanidi kutoka kwenye tovuti

Amerika ya Kilatini

Fikia tovuti ifuatayo kisha utafute idhaa yako. Pakua na utumie kifurushi cha programu ya bidhaa yako, kisha ufuate maagizo yaliyo kwenye skrini ya kompyuta ili uendeshe programu iliyowekwa.

https://support.epson.com

Maeneo Mengine

Fikia tovuti ifuatayo, kisha uingize jina la bidhaa. Nenda kwenye Mpangilio, na kisha uanze kusanidi.

https://epson.sn

Pia unaweza kutazama taratibu katika M'ozo Video Mt'ni. Fikia tovuti inayofuata.

https://support.epson.net/publist/vlink.php?code=NPD7415

Kwa watumiaji nchini China, fikia tovuti inayofuata.

https://support.epson.net/publist/vlink.php?code=NPD7416

Kusanidi ukitumia diski ya programu

Ikiwa printa yako ilikuja na diski ya programu na unatumia kompyuta ya Windows iliyo na kiendeshi cha diski, ingiza diski kwenye kompyuta, halafu ufuate maagizo kwenye skrini.