> Kutatua Matatizo > Karatasi Zinakwama > Kuondoa Karatasi Iliyokwama

Kuondoa Karatasi Iliyokwama

Pia unaweza kutazama taratibu katika Mwongozo wa Filamu ya Wavuti. Fikia tovuti inayofuata.

https://support.epson.net/publist/vlink.php?code=NPD7020

Tahadhari:

Usiwahi kugusa vitufe vilivyo kwenye paneli dhibiti wakati mkono wako uko ndani ya kichapishi. Ikiwa kichapishi kitaanza kufanya kazi, inaweza kusababisha majeraha. Kuwa makini usiguse sehemu zinazojitokeza ili uzuie majeraha.

  1. Ondoa karatasi iliyokwama.

  2. Fungua kifuniko cha mbele.

  3. Fungua kitengo cha kitambazaji hadi kitoe mbofyo.

    Muhimu:

    Usiguse sehemu zinazoonyeshwa kwenye mfano ndani ya kichapishi. Ukifanya hivyo unaweza kusababisha hitalifu.

  4. Ondoa karatasi iliyokwama.

    Muhimu:

    Usiguse sehemu zinazoonyeshwa kwenye mfano ndani ya kichapishi. Ukifanya hivyo unaweza kusababisha hitalifu.

  5. Funga kitengo cha kitambazaji.

    Kwa usalama, kitengo cha kitambazaji kinafungwa kwa hatua mbili.

    Kumbuka:

    Lazima kitengo cha kitambazaji kiwe kimefungwa kabisa kabla ya kufunguka tena.

  6. Funga kifuniko cha mbele.