> Kutatua Matatizo > Haiwezi Kuendesha Kichapishi Inavyotarajiwa > Mashine ya Kujibu Haiwezi Kujibu Simu za Sauti > Mpangilio wa kichapishi wa Hutoa mlio ili Kujibu umewekwa kwa chini ya idadi ya milio kwa mashine yako ya kujibu.

Mpangilio wa kichapishi wa Hutoa mlio ili Kujibu umewekwa kwa chini ya idadi ya milio kwa mashine yako ya kujibu.

Teua Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi > Hutoa mlio ili Kujibu, na kisha uweke idadi ya juu zaidi kuliko idadi ya milio kwa mashine yako ya kujibu.