Kusajili Mafikio kama Kikundi

  1. Fikia Web Config.

  2. Bofya Log in, ingiza nenosiri, kisha ubofye OK.

  3. Teua Contacts.

  4. Teua idadi unayotaka kusajili, na kisha ubofye Edit.

  5. Ingiza Name na Index Word.

  6. Teua kikundi kutoka kwenye Type.

  7. Bofya Select kwa Contact(s) for Group.

    Mafikio yanayopatikana yameonyeshwa.

  8. Teua mafikio unayotaka kusajili kwenye kikundi, na kisha ubofye Select.

    Kumbuka:

    Mafikio yanaweza kusajiliwa kwenye vikundi anuwai.

  9. Bofya Apply.