Kisajili au Kuhariri Waasiliani wa Kikundi

Kuongeza anwani kwa kundi kunakuwezesha kutumia faksi kwa miishilio mbalimbali kwa wakati mmoja.

Kumbuka:

Unaweza sajili hadi miishilio 100 na vikundi kwenye orodha ya wasiliani kwa jumla.

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Teua Kisimamia Waasiliani.

  3. Fanya moja kati ya zifuatazo.

    • Ili kusajili kikundi kipya cha waasiliani, teua Ongeza Kikundi, na kisha uteue nambari ya usajili.
    • Ili kuhariri kikundi cha waasiliani, teua Hariri, na kisha uteue kikundi lengwa.
    • Ili kufuta waasiliani wa kikundi, teua Futa, teua kikundi kinacholengwa, na kisha uteue Ndiyo. Hakuna hatua za ziada zinazohitajika.
  4. Ingiza au hariri Jina la Kikundi, na kisha ubonyeze OK.

  5. Ingiza au hariri Neno la Kiolesura, na kisha ubonyeze OK.

  6. Teua waasiliani unaotaka kusajili katika kundi.

    Kila wakati unaponyeza kitufe cha , mwasiliani anateuliwa na kuondolewa uteuzi kwa wakati mmoja.

  7. Bonyeza kitufe cha OK ili kuendelea, na kisha uteue Ongeza Ingizo ili kukamilisha kusajili au kuhariri.