Epson
 

    ET-4810 Series L5590 Series ET-2840 Series L3560 Series

    Mwongozo wa Mtumiaji

    > Maelezo ya Bidhaa > Maelezo ya Programu

    Maelezo ya Programu

    Sehemu hii inaleta baadhi ya programu zinazopatikana kwa printa yako. Kwa orodha ya programu inayokubaliwa, angalia tovuti ifuatayo ya Epsona au uzindue Epson Software Updater kwa ajili ya uthibitishaji. Unaweza kupakua programu za hivi karibuni.

    http://www.epson.com

    • Programu ya Kuchapisha kutoka katika Kompyuta (Kiendeshi cha Kichapishi cha Windows)

    • Programu ya Kuchapisha kutoka katika Kompyuta (Kiendeshi cha Kichapishi cha Mac OS)

    • Programu ya Kudhibiti Kitambazaji (Epson Scan 2)

    • Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)

    • Programu-tumizi ya Kutuma Faksi (Kiendeshi cha PC-FAX)

    • Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)

      • Kuendesha Web Config Kwenye Kivinjari Wavuti

    • Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)

    Chapisha Kurasa zilizochaguliwa

    © 2023 Seiko Epson Corp.