Sehemu hii inaelezea hatua za kunakili nakala asili katika rangi anuwai au rangi moja.

Pakia karatasi katika kichapishi.
Weka nakala za kwanza.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

Teua Rangi au Ny'i&N'pe.
Weka idadi ya nakala kama inahitajika.
Bonyeza kitufe cha
.
Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyonakiliwa ni tofauti kiasi kutoka kwenye nakala asili.