> Kuchapisha > Kuchapisha kwa kutumia Huduma ya Wingu

Kuchapisha kwa kutumia Huduma ya Wingu

Kwa kutumia huduma ya Epson Connect inayopatikana kwenye Intaneti, unaweza kuchapisha kutoka kwenye kifaa chako cha simu au kipakatilishi, wakati wowote na kutoka mahali popote. Ili kutumia huduma hii, unahitaji kuunda akaunti na kusajili mtumiaji na kichapishi kwenye Epson Connect.

Vipengele vya Epson Connect vinavyopatikana kwenye Intaneti ni kama vifuatavyo.

  • Email Print

    Unaweza kutuma barupepe kutoka eneo la mbali hadi kwenye anwani ya baruapepe iliyotolewa kwenye kichapishi, na kama vile kichapishi chako cha nyumbani au ofisi kuchapisha baruapepe hiyo na viambatisho vyake.

  • Remote Print Driver

    Unaweza kuchapisha kwenye kichapishi katika eneo la mbali kwa kuichagua katika programu unayotumia.

Angalia kitovu cha tovuti cha Epson Connect kwa maelezo kuhusu jinsi ya kuweka mipangilio na kuchapisha.

https://epson.com/connect (Marekani)

https://epson.ca/connect (Kanada)

https://latin.epson.com/connect (Amerika ya Kusini)

https://www.epsonconnect.eu (Ulaya)

https://www.epsonconnect.ae (Mashariki ya Kati, Uturuki, Afrika, Asia ya Magharibi na Kati)

https://www.epsonconnect.com (Maeneo mengine)