Unapopakia karatasi nderu kinyume na ukubwa unaohitajika, hifadhi auni ya karatasi na trei towe, na kisha usawazishe ukingo wa mbele wa karatasi.