> Kutatua Matatizo > Kichapishi Hakifanyi Kazi Inavyotarajiwa > Haiwezi Kuchapisha > Kuchapisha faksi zilizopokewa kumelemazwa chini ya mipangilio ya sasa.

Kuchapisha faksi zilizopokewa kumelemazwa chini ya mipangilio ya sasa.

Iwapo Hif'hi k. Kompyuta imewekwa Ndiyo, badilisha mpangilio kwa Ndiyo na Uchapishe, au lemaza Hif'hi k. Kompyuta.

Unaweza kupata Hif'hi k. Kompyuta katika Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea.