
|
|
Huwasha na kuzima kichapishi. Chomoa waya ya nishati baada ya kuhakikisha kuwa taa ya nishati imezimwa. |
|
|
Huonyesha menyu na ujumbe. Tumia vitufe vilivyo kwenye paneli dhibiti ili kuteua menyu au kuunda mipangilio. |
|
|
Huonyesha utatuzi wakati uko kwenye tatizo. |
|
|
Tumia vitufe vya |
|
|
Husimamisha operesheni ya sasa. |
|
|
Huingiza nambari, vibambo, na ishara. |
|
|
Hufuta mipangilio ya nambari kama vile idadi za nakala. |
|
|
Huanza operesheni kama vile uchapishaji na kunakili. |
|
|
Hutekelezwa kwa vitendaji mbalimbali kulingana na hali. |
|
|
Hukurudisha kwenye skrini ya awali. |
|
|
Huwaka wakati hati zilizopokewa ambazo bado hazijachapishwa au kuhifadhiwa, zimehifadhiwa kwenye kumbukumbu ya kichapishi. |
|
|
Onyesha skrini ya mwanzo. |
*Only for ET-4800 Series/L5290 Series