Wakati uchapishaji una uchafu au kuchakaa, safisha kibiringizaji kiicho ndani.
Usitumie karatasi ya shashi kusafisha ndani ya kichapishi. Nozeli za kichwa cha kushapisha zinaweza kuzibwa na nyuzi za pamba.
Teua Matengenezo kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Usfshaji Mwongzo wa Krtasi.
Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini ili kupakia karatasi na kusafisha njia ya karatasi.
Rudia utaratibu huu hadi karatasi iwache kuchafuliwa na wino.