> Kunakili > Mbinu Zinazopatikana za Kunakili > Kunakili Nakala Asili

Kunakili Nakala Asili

Sehemu hii inafafanua jinsi ya kutumia menyu ya Nakili kwenye paneli dhibiti ili kunakili nakala asili.

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Pakia Karatasi katika Mlisho wa Nyuma wa Karatasi

  2. Weka nakala za kwanza.

    Iwapo unataka kunakili nakala asili nyingi, weka nakala zote asili kwenye ADF.

    Kuweka Nakala Asili kwenye Glasi ya Kichanganuzi

    Kuweka Nakala Asili kwenye ADF

  3. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  4. Weka idadi ya nakala.

  5. Teua nakala ya rangi au nakala ya rangi moja.

  6. Bonyeza kitufe cha OK ili kuonyesha na kuangalia mipangilio ya kuchapisha, na kisha ubadilishe mipangilio kama inavyohitajika.

    Ili kubadilisha msha menyu ya mpangilio kwa kutumia vipangilio, bonyeza kitufe cha , bainiitufe vya , na kisha ubadilishe mipangilio kwa kutumia vitufe vya . Unapokamilisha, bonyeza kitufe cha OK.

  7. Bonyeza kitufe cha .