Unaweza kutuma faksi kwa kuingiza nambari za faksi kwa wapokeaji kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Wakati unatuma faksi katika rangi moja, unaweza kuhakiki picha iliyochanganuliwa kwenye skrini ya LCD kabla ya kutuma.
Weka nakala za kwanza.
Unaweza kutuma hadi kurasa 100 katika wasilisho moja; hata hivyo, kwa kutegemea nafasi iliyosalia kwenye kumbukumbu, huenda usiweze kutuma faksi na chini ya kurasa 100.
Teua Faksi kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

Bainisha mpokeaji.
Teua Menyu kwa kubonyeza kitufe cha OK, na kisha uteue Mipangi. Utambazaji au Mipan. Kutuma Faksi ili uweke mipangilio kama vile mwonekano na mbinu ya utumaji inavyohitajika.
Bonyeza kitufe cha
ili utume faksi.
Ikiwa nambari ya faksi ina shughuli au kuna matatizo, kichapishi hudayo upya kiotomatiki baada ya dakika moja.
IIli ukatishe utumaji, bonyeza kitufe cha
.
Huchukua muda murefu kutuma faksi ya rangi kwa sababu printa hufanya utambazaji na utumaji kwa wakati mmoja. Wakati kichapishi kinatuma faksi ya rangi, huwezi kutumia vipengele vingine.