Fuata hatua zilizo hapa chini ili kusajili kichapishi.
Teua Mipangilio kwenye paneli dhibiti.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Huduma za Epson Connect > Sajili/Futa ili kuchapisha laha la usajili.
Fuata maagizo kwenye laha la usajili ili kusajili kichapishi.