Kubadilisha Muunganisho wa Mtandao kutoka Wi-Fi hadi Ethaneti

Fuata hatua zilizo hapa chini ili kubadilisha muunganisho wa mtandao hadi Ethaneti kutoka Wi-Fi kwa kutumia paneli dhibiti.

  1. Unganisha kichapishi kwenye ruta kwa kutumia kebo ya Ethaneti.

  2. Lemaza Wi-Fi kutoka kwenye peneli dhibiti ya kichapishi.