Faksi Iliyopokewa Haijachapishwa

Kosa limetokea kwenye kichapishi kama vile kukwama kwa karatasi.

Suluhisho

Futa kosa la kichapishi, na kisha umuulize mtumaji atume upya faksi.

Kuchapisha faksi zilizopokewa kumelemazwa chini ya mipangilio ya sasa.

Suluhisho

Iwapo Hif'hi k. Kompyuta imewekwa Ndiyo, badilisha mpangilio kwa Ndiyo na Uchapishe, au lemaza Hif'hi k. Kompyuta.

Unaweza kupata Hif'hi k. Kompyuta katika Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea.