ET-4800 Series/L5290 Series Pekee
|
Viwango |
IEEE802.3i (10BASE-T)*1 IEEE802.3u (100BASE-TX) IEEE 802.3az (Ithaneti Inayotumia Nguvu Vizuri)*2, *3 |
|
Modi ya Kuwasiliana |
Oto, Dupleksi nzima ya Mb 10/s, Dupleksi nusu ya Mb 10/s, Dupleksi nzima ya Mb 100/s, Dupleksi nusu ya Mb 100/s |
|
Kiunganishi |
RJ-45 |
*1 Tumia kebo ya STP ya kategoria ya 5e au zaidi (Mbili zenye kinga na mkunjo) ili kuzuia hatari ya usumbufu wa redio.
*2 Kifaa kilichounganishwa kinafaa kifuate viwango vya IEEE 802.3az.
*3 IEEE 802.3az imelemazwa kwa chaguo-msingi. Tazama "Maelezo Husiani" ili kuwezesha mpangilio huu.