Menyu hii inapatikana kwa ET-4800 Series/L5290 Series pekee.
Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Sajili ingizo la kutumika kwa faksi kwenye waasiliani.
Sajili ingizo kwa faksi za kikundi kwenye waasiliani.
Hariri maingizo na vikundi vilivyosajiliwa kwenye waasiliani.
Futa ingizo au kikundi kilichosajiliwa kwenye waasiliani.
Chapisha maelezo ya ingizo na maelezo ya kikundi kwa waasiliani kwenye orodha.