Vipengee vya Mpangilio wa Mafikio

Vipengele

Mipangilio na Ufafanuzi

Name

Ingiza jina linaloonyeshwa kwenye waasiliani katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8).Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Index Word

Ingiza maneo ya kutafuita katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8).Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Type

Kipengee hiki kimewekwa thabiti kama Fax.Huwezi kubadilisha mpangilio huu.

Fax Number

Ingiza kati ya vibambo 1 hadi 64 kwa kutumia 0–9 - * # na nafasi.

Fax Speed

Teua kasi ya mawasiliano kwa mafikio.