Unaweza kunakili nakala asili anuwai kwenye laha moja la karatasi.

Weka nakala zote asili zikiwa zinaangalia juu katika ADF.
Kuweka Nakala Asili kwenye ADF
Ziweke katika mwelekeo ulioonyeshwa kwenye mfano.


Iwapo unataka kunakili nakala asili ambazo haziauniwi na ADF, tumia glasi ya kitambazaji.
Pia unaweza kuweka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji.


Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Weka idadi ya nakala.
Teua nakala ya rangi au nakala ya rangi moja.
Bonyeza kitufe cha OK, na kisha ubonyese kitufe cha
.
Teua Kurasa Nyingi ukitumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha
.
Teua 2-juu.
Bainisha mpangilio na mwelekeo wa nakala asili, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Bonyeza kitufe cha
.