> Kutatua Matatizo > Ubora wa Kuchapisha, Kunakili na Kutambaza ni Duni > Ubora wa Nakala ni wa chini > Matini au taswira Iliyonakiliwa kutoka kwenye ADF Imefinywa au Kurefushwa

Matini au taswira Iliyonakiliwa kutoka kwenye ADF Imefinywa au Kurefushwa

Huenda baadhi ya nakala asili zisitambazwe vilivyo kutoka kwenye ADF.

Suluhisho

Weka asili kwenye glasi ya kitambazaji.