Haiwezi Kutuma Faksi kwa Mpokeaji Fulani

Mpangilio wa Kasi ya Faksi uliosajiliwa kwenye orodha ya waasiliani sio sahihi.

Suluhisho

Teua mpokeaji kutoka kwenye orodha, na kisha uteue Hariri > Kasi ya Faksi > Polepole(9,600bps).