Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Kisimamia Waasiliani.
Fanya moja kati ya zifuatazo.
Weka mipangilio inayofaa.
Wakati unaingiza nambari ya faksi, ingiza msimbo wa ufikiaji wa nje mwanzoni mwa nambari ya faksi ikiwa mfumo wako wa simu ni wa PBX na unahitaji msimbo wa kufikia ili upate laini ya nje. Ikiwa msimbo wa ufikiaji umewekwa katika mpangilio wa Aina ya Laini, ingiza hashi (#) badala ya msimbo halisi wa ufikiaji. Ili kuongeza kusitisha (sitisha kwa sekunde tatu) wakati wa kupiga ingiza kistari kifupi (-).
Bonyeza kitufe cha OK ili kuendelea, na kisha uteue Ongeza Ingizo ili kukamilisha kusajili au kuhariri.