Unaweza kutafuta menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hapa chini:
Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Angalia Muunganisho wa Faksi
Kuteua Angalia Muunganisho wa Faksi huhakikisha kuwa kichapishi kimeunganishwa kwenye laini ya simu na tayari kusambaza faksi. Unaweza kuchapisha matokezo ya ukaguzi kwenye karatasi tupu ya ukubwa wa A4.