Iwapo kichapishi kimeunganishwa kwenye laini ya simu na mipangilio msingi imekamilishwa kwa kutumia Kis. Mpang. Faksi, unaweza kupoklea faksi.
Faksi zilizopokewa huchapishwa.

Unapotaka kukagua hali ya mipangilio ya faksi, chapisha Orodha ya Mipangilio ya Faksi kwa kuteua Faksi > Menyu > Zaidi > Ripoti ya Faksi > Orodha ya Mipangilio ya Faksi.