> Kuweka Karatasi > Pakia Bahasha katika Mlisho wa Nyuma wa Karatasi

Pakia Bahasha katika Mlisho wa Nyuma wa Karatasi

  1. Vuta nje auni ya karatasi.

    ET-4800 Series/L5290 Series

    ET-2820 Series/L3260 Series

  2. Telezesha miongozo ya kingo.

  3. Pakia ukingo mfupi wa bahasha kwanza katikati ya auni ya karatasi huku kifuniko kikiangalia chini.

    Muhimu:

    Usipakie zaidi ya idadi ya juu zaidi ya laha iliyobainishwa kwa bahasha.

  4. Telezesha miongozo ya kingo hadi kwenye kingo za bahasha.

    ET-2820 Series/L3260 Series: Funga kilinzi cha mlisho baada ya kutelezesha miongozo ya kingo.

    Muhimu:

    ET-2820 Series/L3260 Series: Usiweke vifaa kwenye kilinzi cha mlisho. Kufanya hivyo kunaweza kuzuia karatasi kuingia.

  5. Chagua ukubwa wa karatasi na aina ya karatasi.

  6. Toa trei ya kushikilia nakala zinazochapishwa.