Epson
 

    ET-4800 Series L5290 Series ET-2820 Series L3260 Series

    Mwongozo wa Mtumiaji

    > Kutatua Matatizo > Kichapishi Hakifanyi Kazi Inavyotarajiwa > Haiwezi Kuchapisha > Haiwezi Kuchpisha kutoka Mac OS

    Haiwezi Kuchpisha kutoka Mac OS

    Hakikisha kwamba kompyuta na kichapishi vimeunganishwa ipasavyo.

    Sababu na suluhu la tatizo hutofautiana kwa kutegemea iwapo vimeunganishwa au la.

    • Kuangalia Hali Ya Muunganisho

      • Haiwezi kuunganishwa kwenye Mtandao

      • Kichapishi Hakiwezi Kuunganishwa kupitia USB (Mac OS)

      • Hakiwezi Kuchapisha Ingawa Muunganisho Umewekwa (Mac OS)

    • Ghafla, Kichapishi Hakiwezi Kuchapisha kupitia Muunganisho wa Mtandao

    • Menyu ya Mipangilio ya Kuchapisha Haionyeshwi.

    Chapisha Kurasa zilizochaguliwa

    © 2023 Seiko Epson Corp.