Faksi

Teua menyu kwenye Faksi kutoka katika skrini ya nyumbani kwenye paneli dhibiti.

Waasiliani:

Chagua mpokeaji kutoka kwenye orodha ya waasiliani. Unaweza pia kuongeza au kuhariri mwasiliani.

Hivi karibuni:

Chagua mpokeaji kutoka kwa historia ya faksi zilizotumwa. Unaweza pia kuongeza mpokeaji kutoka kwenye oorodha ya waasiliani.

Menyu

Unaweza kuteua menyu zifuatazo.

  • Mipangi. Utambazaji

  • Mipan. Kutuma Faksi

  • Zaidi

  • Kisimamia Waasiliani

Tazama “Maelezo Husiani” hapa chini kwa maelezo zaidi.

Tuma Faksi

Bonyeza kitufe cha ili utume faksi.