> Utambazaji > Kutambaza Nakala Asili kwenye Kifaa Maizi

Kutambaza Nakala Asili kwenye Kifaa Maizi

Kumbuka:
  • Kabla ya kutambaza, sakinisha Epson Smart Panel kwenye kifaa chako maizi.

  • Skrini za Epson Smart Panel zinaweza kubadilika bila wewe kuarifiwa.

  • Maudhui ya Epson Smart Panel yanaweza kuwa tofauti kwa kutegemea bidhaa.

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Anza Epson Smart Panel kwenye kifaa chako maizi.

  3. Teua menyu ya kutambaza kwenye skrini ya nyumbani.

  4. Fuata maagizo yaliyo kwenye skrini ili kutambaza na kuhifadhi taswira.