Suluhisho
Ikiwa umejisajili kwa huduma ya kusambaza simu, huenda printa isiweze kupokea faksi. Wasiliana na mtoa huduma.
Suluhisho
Iwapo kifaa cha simu cha nje kimeunganishwa kwenye kichapishi na kinashiriki laini ya simu na kichapishi, teua Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi, na kisha uweke Hali ya Kupokea iwe Otomatiki.
Suluhisho
Wakati umeunda mipangilio ya kuhifadhi faksi zilizopokewa kwenye kompyuta, washa kompyuta. Faksi iliyopokewa itafutwa pindi tu imehifadhiwa kwenye kompyuta.
Suluhisho
Hakikisha kuwa nambari ya mtyumaji inaweza kufutwa kutoka kwenye Or. N'ari Zil'kataliwa kabla ya kuifuta. Ifute kutoka kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi > Faksi ya Kukataliwa > Hariri Orodha ya Nambari Zilizozuiwa. Au lemaza Or. N'ari Zil'kataliwa katika Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi > Faksi ya Kukataliwa > Faksi ya Kukataliwa. Faksi zilizotumwa kutoka kwenye nambari ambazo hazijasajiliwa kwenye orodha hii zimezuiwa wakati mpangilio huu umewezeshwa.
Suluhisho
Sajili nambari ya faksi ya mtumaji kwenye orodha ya mwasiliani. Au lemaza Mp. simu hay. ktk W'ni katika Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi > Faksi ya Kukataliwa > Faksi ya Kukataliwa. Faksi zilizotumwa kutoka kwenye nambari ambazo hazijasajiliwa kwenye orodha hii zimezuiwa.
Suluhisho
Uliza mtumaji iwapo maelezo yamesanidiwa kwenye mashine yake ya faksi. Au, lemaza Kij. Faksi kiko Tupu katika Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi > Faksi ya Kukataliwa > Faksi ya Kukataliwa. Faksi ambazo hazijumuishi maelezo ya kijajuu zimezuiwa wakati mpangilio huu umewezeshwa.