Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Sajili au ufute kichapishi kwa au kutoka kwenye huduma za Epson Connect.
Kwa miongozo ya matumizi, tazama tovuti ifuatayo ya kituo.
http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)
Teua iwapo utasitisha au kuendelea na huduma za Epson Connect.
Angalia anwani ya barua pepe ya kichapishi iliyosajiliwa kwenye huduma za Epson Connect.
Angalia iwapo kichapishi kimesajiliwa na kuunganishwa kwenye huduma za Epson Connect au la.