Mbinu hii hukuruhusu kuunganisha kichapishi moja kwa moja kwenye vifaa maizi bila kipanga njia pasiwaya.
Kwa watumiaji wa iOS au Android, ni rahisi kusanidi kutoka kwenye Epson Smart Panel.
Unahitaji kuunda mipangilio hii kwa kichapishi na kifaa maizi unachotaka kuunganisha mara moja. Isipokuwa ulemaze Wi-Fi Direct au kurejesha mipangilio ya mtandao kwa chaguo-msingi yake, huhitaji kuunda mipangilio hii tena.
Teua Usanidi wa Wi-Fi kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

Teua Wi-Fi Direct.
Angalia ujumbe, na kisha ubonyeze kitufe cha Sawa ili kuendelea.
Angalia ujumbe, na kisha ubonyeze kitufe cha Sawa ili kuendelea.
Bonyeza
.
Teua Vifaa Vingine vya OS.
Bingiriza skrini ukitumia kitufe cha
, na uangalie maelezo ya muunganisho ya Wi-Fi Direct.
Kwenye skrini ya Wi-Fi ya kifaa maizi, teua SSID iliyoonyeshwa kwenye paneli dhibiti, na kisha uingize nenosiri.

Kwenye paneli dhibiti ya kichapishi, bonyeza kitufe cha Sawa.
Kwenye skrini ya programu ya kuchapisha kwa kifaa maizi, teua kichapishi unachotaka kuunganishwa.
Kwa vifaa maizi ambavyo vimeunganishwa kwenye kichapishi mbeleni, teua jina la mtandao (SSID) kwenye skrini ya Wi-Fi ya kifaa maizi ili kuviunganisha tena.
Iwapo unatumia kifaa cha iOS, pia unaweza kuunganisha kwa kutumia msimbo wa QR kwa kamera wastani ya iOS. Tazama kiungo cha hapa chini http://epson.sn.