Unaweza kuchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao ili kuangalia hali kati ya kichapishi na kipanga njia pasiwaya.
Pakia karatasi.
Bonyeza kitufe cha
.
Ripoti ya muunganisho wa mtandao imechapishwa.
Iwapo kosa limetokea, angalia ripoti ya muunganisho, na kisha ufuate suluhisho zilizochapishwa.