> Kukarabati Kichapishi > Kuboresha Ubora wa Uchapishaji > Kulinganisha Kichwa cha Kuchapisha > Kulinganisha Kichwa cha Kuchapisha — Mac OS

Kulinganisha Kichwa cha Kuchapisha — Mac OS

  1. Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.

  2. Teua Mapendeleo ya Mfumo kwenye menyu ya Apple > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishi.

  3. Bofya Chaguo na Vifaa > Huduma > Fungua Huduma ya Printa.

  4. Bofya Print Head Alignment.

  5. Fuata maagizo ya kwenye skrini.