> Kutatua Matatizo > Karatasi Haitoi Mlisho Ipasavyo > Karatasi Inatolewa Wakati wa Uchapishaji

Karatasi Inatolewa Wakati wa Uchapishaji

Letterhead haijateuliewa kama aina ya karatasi.

Suluhisho

Unapopakia karatasi ya kichwa cha barua (karatasi ambayo maelezo kama vile jina la mtumaji au jina la shirika yanachapishwa awali kwenye kijajuu), teua Letterhead kama mpangilio wa aina ya karatasi.